FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025

Ila mpira ni kitu cha ajabu sana😳...mashabiki WA Simba mna moyo wa ajabu sana😎mnawezaje kua na matarajio makubwa hivo ya kumfunga yanga tarehe 8?🤔 Mnaposifia timu yenu hua mnazingatia nini kuizidi yanga kwenye ubora?...mmetangulia 2 basi yanawatoka ya asubuhi asubuhi mnajiona mshachukua point kwa yanga?🚮🚮🚮🚮Yani zimbwe aje amzuie ikangalombo, pacome, mzize upande ule? matako yenu jifarijini TU😎
 
Unawezaje kuwa na moyo wa kuandika mkeka wote huu. Huna kazi?
 
Maigizo tupu golikipa amekikisha mukwala anapata hat trick bila jasho.
 
Wajuzi wa sheria za mpira, Chamou ni beki wa mwisho kamzui Maabad asiingie kwenye box la Simba akapewa yellow kadi, je ile haikuwa red card?

Wapi Osman Kazi maana Mchambuzi Azam tv amedai hakukuwa na shida kwa ile yellow card!!

Dawa ya Simba ni Yanga tu hizi timu ndogo zinaonewa mno na marefa njaa!

Mie Sijui tukusaidiaje..?

Ila Kuna Watu Wabunifu Sana, nimemwona kuna Jamaa kaja na Mkoba Uwanjani Umeandikwa ' Mkoba Wa Malalamiko ya Wapinzani ' .

Labda Kwa Ushauri Katumbukize kule Hili Lalamiko Lako...!
Uwezi jua Unaweza kusaidika..!
 
Back
Top Bottom