Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Usihofu, timu za GSM zikiendelea kucheza kick boxing refa atatoa tu.Refa mbona hutoi penalty? Tutavunja vitii...
Simba 🦁 ndie mlezi wa wote wanao teseka Kama wewe hapoKolozidad lolote baya liwakute...
Wanafanya kusudi kuwatia moyo makolo waone mpira umeisha na wameshinda 🤣View attachment 3254768
Azam wanakuambia dakika ya 90.
😂😂 Ubaya ubwelaCoastal wameuza hii game