Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Siku zile game ya 1 waliongoza hivihivi zikarudi zote,Leo golini yupo nani
Tunapiga matawi yote ambayo yako affilated na gsmCoastal wameuza hii game
Tunapiga matawi yote ambayo yako affilated na gsmCoastal wameuza hii game
Hebu mjifunze kushangilia ushindiHaya ndio magoli tunataka sio papatupapatu za penalty na offside.
Wacha mukwala atupe burudani sio lile bamsa .
Hebu mjifunze kushangilia ushindiHaya ndio magoli tunataka sio papatupapatu za penalty na offside.
Wacha mukwala atupe burudani sio lile bamsa .
Kukariri maishaSiku zote simba hua anapata tabu game moja kabla ya Derby na baada ya Derby lazima asale au afungwe
Hayo makosa hayawezi kupelekea Utopolo wakatae goli?Ila Azam nao miyeyusho
Eti kwenye score board yao wamempa Mpanzu kuwa ndiye mfungaji wa bao la pili
Kumbe hadi admin wa page naye amedata.View attachment 3254768
Azam wanakuambia dakika ya 90.
wamemsaliti boss wao GSMCoastal wameuza hii game
Muongo muongo sana wewe mdaubahati mbaya anapoteza zote
Tuassume ni swaumu, maana wengine wameanza tayari.Kumbe hadi admin wa page naye amedata.
Nikajua ni broadcasting team pekee ndio ime pagawa maana imeandika kuwa Mpanzu ndio mfungaji wa goli la pili
Hapo shabiki wa mwiko nyuma ndio yupo kitengo.Ila Azam nao miyeyusho
Eti kwenye score board yao wamempa Mpanzu kuwa ndiye mfungaji wa bao la pili
No further updates.Coastal Union VS Simba SC
| NBC Premier League
| Sheikh Amri Abeid Arusha
| March 1, 2025
Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
Updates....
Mpira umeanza
Dakika, 19 milango yote ni mingumu si Coastal wala Simba
Dakika, 21 mashambulizi ya kutosha
Hahaaa na hii utambulisho wako unatuwacha huo mzee job true true hebu tusalimie mzee wa yanga JOseveretJob true true not less .... Sio kazi ndogo kweli 🤣
Word to word translation