LEO NI MWENDO WA KUSTIHANA KAMA KIAPO.Coast haijawahi sumbua Simba katika hatua kama hizi. Coast ni daraja la Simba wakiwa katika nyakati ngumu. Saidoo alitumia daraja hili kumfikia Mayeye. Wananchi msifikirie hii kutokea. Hata hivyo gape ya 7 points siyo dogo kwa form wenyenayo Yanga kuelekea ubingwa. LEO TUANGALIE MAIGIZO KWANI SCTIPT imeshaandaliwa