FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

LEO NI MWENDO WA KUSTIHANA KAMA KIAPO.Coast haijawahi sumbua Simba katika hatua kama hizi. Coast ni daraja la Simba wakiwa katika nyakati ngumu. Saidoo alitumia daraja hili kumfikia Mayeye. Wananchi msifikirie hii kutokea. Hata hivyo gape ya 7 points siyo dogo kwa form wenyenayo Yanga kuelekea ubingwa. LEO TUANGALIE MAIGIZO KWANI SCTIPT imeshaandaliwa
 
Leo ushindi ni Lazima hata wachezaji wa Kolozidad wakiingia uwanjani wakiwa wamelewa [emoji1787][emoji28][emoji23]
 
Kuna mchambuzi anasema Simba leo wanaweza kuanza pungufu, anaulizwa kivipi anasema Fred akianza kwake yeye anaona kama wameanza pungufu.

Discuss with vivid examples.
 
Kila la kheri mashemeji zangu, wana mangushi, wagosi wa kaya.
 
😂😁😁😁😁 Kila la kheri Simba SC Cc: uran Kalpana
20240307_111604.jpg
 
Back
Top Bottom