FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

Mtoto anacheza na mama yake leo,tutarajie simba kushinda goli 8
 
Freddy anaanza tena. Onana, Chasambi, Kibu, Omar kwenye Benchi.
Huyu jamaa inaonekana anahisa Simba.
 
Simba anashinda, coast ni mabest friend na Simba ....ukizingatia coast hashuki daraja Wala ubingwa.Hivyo Hana pressure na lolote watawabeba Makoloo.
 
Dua mbaya toka kwa Wana mwiko ituepuke.
 
Simba anashinda, coast ni mabest friend na Simba ....ukizingatia coast hashuki daraja Wala ubingwa.Hivyo Hana pressure na lolote watawabeba Makoloo.
Wao hawataki nafasi ya nne? Mechi ngumu kwa Simba hii
 
Game ya Kwanza walikula 3 bila hawa!!
 
Back
Top Bottom