Goli likitaka kuingiaUsiogope
Ayubu atakimbia GoliDakika ya 05' Lakred amefanya save ya maana
❌Wazee wangu wakubashiri...tuanze hapo mnaonaje hii mechi itaishaje ?ngapingapi?...Mimi utabiri wangu simba 2 coastal 1(simba 2 na coastal 1)haya twendeni kazi
Sawa weka utabiri wako mkuu[emoji777]
Simba kafaSawa weka utabiri wako mkuu
Simba B tayari ameachia. Maana anajua akikaza tu Simba A kutawaka moto.Simba A na Simba B uwanjani