Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwendraPwagu 1 vs Pwaguzi 2
Kwa ligi ya Tz kuchukua hata mara 4 mfululizo ni kawaida na inatokea.Mwaka wa 3 bila taji katika ligi
Kwanini ni mbovu? Leta takwimu za msimu.Kama uoni ubovu wa Simba basi wewe ni kipofu!
Simba ni mbovu kuanzia uongozi, uendeshaji, usajili n.k
Ni msimu tuHatujazoea hii Simba,heri hata wachezaji wafukuzwe wote tuanze mwanzo
Au amewehushwa na perfomance ya Yanga.Hana Vigezo
Hongera mikeka yako inatiki sanaMimi Nina kitu nitafika mbali kwakweli...ninatabiri sawasawia matokeo ya watani ...rejeeni post yangu ya Leo namba 108# nimetabiri sawasawia Ila mnanipuuzia...lakini pia Jana mechi ya yanga post yangu namba 109 nilitabiri matokeo ya mechi yote sawa sawia...kiukweli ni uwezo wa kipekee Sana kujua matokeo yapi ya timu zote kufungana kwa idadi ileile ya magoli na kweli hutokea...nikubalini tu...
Shahidi yangu Kuna mtu anaitwa kalplano na mwingine alikubali jana nimemsahau...Kama unahisi ni rahisi tabiri na wewe..
Ahsanteni ndugu zanguni tukutane next game
Mimi Nina kitu nitafika mbali kwakweli...ninatabiri sawasawia matokeo ya watani ...rejeeni post yangu ya Leo namba 108# nimetabiri sawasawia Ila mnanipuuzia...lakini pia Jana mechi ya yanga post yangu namba 109 nilitabiri matokeo ya mechi yote sawa sawia...kiukweli ni uwezo wa kipekee Sana kujua matokeo yapi ya timu zote kufungana kwa idadi ileile ya magoli na kweli hutokea...nikubalini tu...
Shahidi yangu Kuna mtu anaitwa kalplano na mwingine alikubali jana nimemsahau...Kama unahisi ni rahisi tabiri na wewe..
Ahsanteni ndugu zanguni tukutane next game
Post hii hapa mkaangalie na ya Jana natabiri kabla ya mechi kuchezwaWazee wangu wakubashiri...tuanze hapo mnaonaje hii mechi itaishaje ?ngapingapi?...Mimi utabiri wangu simba 2 coastal 1(simba 2 na coastal 1)haya twendeni kazi
Umeupima na nini huo ubovu kwa kiasi cha kutaka wafukuzwe wote tuanze moja? Timu ipo nafasi ya 2 kwenye ligi na imevuka hatua ya makundi Club bingwa.Kama uoni ubovu wa Simba basi wewe ni kipofu!
Simba ni mbovu kuanzia uongozi, uendeshaji, usajili n.k