FT: Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League| Mkwakwani Stadium| March 09, 2024

Waambie uongozi utangaze wanahitaji wawekezaji wengine Kama hawatajitokeza.
Tunapenda sana kurahisisha mambo ila yakija katika uhalisia wake yanatushinda.

Swali jepesi tu boss, Kama Simba ikikupa kazi ya kushort list watu watano tu ambao unahisi watakuwa interested kuwekeza Simba ungewataja kina nani?
 
Sidhani Kama ni jukumu langu Ila tutaona mchakato wa yanga ukikamilika maana wameangalia wapi Simba walijikwaa na kuboresha.
 
Ndo maana nakuambia tunarahisisha mambo sana katika nadharia ila katika uhalisia yanatushinda.

Umesema Simba itangaze kuachana na Mo halafu tutaona wawekezaji wengine lakini katika uhalisia ni kweli kuwa Simba ikisema tu tunahitaji mwekezaji wawekezaji watatokea?
 
Atangaze kuachia timu
Watatokea tu simba ni asset ujue
Simba ikikuajiri ushortlist watu 3 tu ambao unaamini "watatokea tu" ungewataja kina nani na watatokea ndani ya muda gani na kwanini?
 
Ndo maana nakuambia tunarahisisha mambo sana katika nadharia ila katika uhalisia yanatushinda.

Umesema Simba itangaze kuachana na Mo halafu tutaona wawekezaji wengine lakini katika uhalisia ni kweli kuwa Simba ikisema tu tunahitaji mwekezaji wawekezaji watatokea?
Tatizo sio kuachana naye, wafate utaratibu uliowekwa na serikali, wawekezaji wasiwe chini ya watatu, Mambo ya napata hasara, malalamiko ya mikataba hatutayasikia Tena na Wala hatutalalamika kuwa Kuna watu wanapiga pesa kwenye usajili
 
Nilishakujibu simba ni asset Mo akiachia timu watakuja wengine zaidi yake.
Asset kwanini? Kwanini siyo Liability? Ni asset kwa wawekezaji wa aina gani? So far,Mo anapata pressure ya kiwango gani kutoka kwa wafanya biashara wengine ya kuuza share zake kwa faida ili aiachie Simba? Mbona maswali ni mengi ya kujiuliza kabla ya kuhitimisha kiwepesi tu kuwa akitoka yupo mwingine.
 
Tatizo sio kuachana naye, wafate utaratibu uliowekwa na serikali, wawekezaji wasiwe chini ya watatu, Mambo ya napata hasara, malalamiko ya mikataba hatutayasikia Tena na Wala hatutalalamika kuwa Kuna watu wanapiga pesa kwenye usajili
Hakuna shabiki anasapoti porojo za Mo mitandaoni, ninachohoji ni hii statement ya urahisi wa kupata mwekezaji kuwa aondoke tu kuna mwingine yupo.
 
uran hongera kwa ushindi...
Simba nguvu moja
ā¤ļøā€ ā¤ļøā€ ā¤ļøā€ ā¤ļøā€ ā¤ļøā€šŸ¤ šŸ¤ šŸ¤ šŸ¤ šŸ¤
Asante sana.
#nguvumoja#.
 
Back
Top Bottom