financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Haya tuma sasa namba ni ile ile mjukuušBibi,
Baada ya ushindi WA Simba uje uchukue zawadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tuma sasa namba ni ile ile mjukuušBibi,
Baada ya ushindi WA Simba uje uchukue zawadi
Tunapenda sana kurahisisha mambo ila yakija katika uhalisia wake yanatushinda.Waambie uongozi utangaze wanahitaji wawekezaji wengine Kama hawatajitokeza.
Sidhani Kama ni jukumu langu Ila tutaona mchakato wa yanga ukikamilika maana wameangalia wapi Simba walijikwaa na kuboresha.Tunapenda sana kurahisisha mambo ila yakija katika uhalisia wake yanatushinda.
Swali jepesi tu boss, Kama Simba ikikupa kazi ya kushort list watu watano tu ambao unahisi watakuwa interested kuwekeza Simba ungewataja kina nani?
Ndo maana nakuambia tunarahisisha mambo sana katika nadharia ila katika uhalisia yanatushinda.Sidhani Kama ni jukumu langu Ila tutaona mchakato wa yanga ukikamilika maana wameangalia wapi Simba walijikwaa na kuboresha.
Atangaze kuachia timuSawa humtaki, Sawa hafai, then? Yupi ni bora zaidi na yupo tayari?
Simba ikikuajiri ushortlist watu 3 tu ambao unaamini "watatokea tu" ungewataja kina nani na watatokea ndani ya muda gani na kwanini?Atangaze kuachia timu
Watatokea tu simba ni asset ujue
Nilishakujibu simba ni asset Mo akiachia timu watakuja wengine zaidi yake.Simba ikikuajiri ushortlist watu 3 tu ambao unaamini "watatokea tu" ungewataja kina nani na watatokea ndani ya muda gani na kwanini?
Tatizo sio kuachana naye, wafate utaratibu uliowekwa na serikali, wawekezaji wasiwe chini ya watatu, Mambo ya napata hasara, malalamiko ya mikataba hatutayasikia Tena na Wala hatutalalamika kuwa Kuna watu wanapiga pesa kwenye usajiliNdo maana nakuambia tunarahisisha mambo sana katika nadharia ila katika uhalisia yanatushinda.
Umesema Simba itangaze kuachana na Mo halafu tutaona wawekezaji wengine lakini katika uhalisia ni kweli kuwa Simba ikisema tu tunahitaji mwekezaji wawekezaji watatokea?
Asset kwanini? Kwanini siyo Liability? Ni asset kwa wawekezaji wa aina gani? So far,Mo anapata pressure ya kiwango gani kutoka kwa wafanya biashara wengine ya kuuza share zake kwa faida ili aiachie Simba? Mbona maswali ni mengi ya kujiuliza kabla ya kuhitimisha kiwepesi tu kuwa akitoka yupo mwingine.Nilishakujibu simba ni asset Mo akiachia timu watakuja wengine zaidi yake.
Hakuna shabiki anasapoti porojo za Mo mitandaoni, ninachohoji ni hii statement ya urahisi wa kupata mwekezaji kuwa aondoke tu kuna mwingine yupo.Tatizo sio kuachana naye, wafate utaratibu uliowekwa na serikali, wawekezaji wasiwe chini ya watatu, Mambo ya napata hasara, malalamiko ya mikataba hatutayasikia Tena na Wala hatutalalamika kuwa Kuna watu wanapiga pesa kwenye usajili
KaandamaneSimba sio mnyama mkubwa mwituni.
Gulamali,Mengi...kwa uchache..niendelee kukutajia?Tulishawahi kuwa na Mwekezaji gani zaidi ya Manji na GSM?
How comes the beautful lady like you is uto???Nitake radhiii! Mimi siwezi kua Koloo![emoji1787][emoji169][emoji172][emoji2222]