DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuivaa Congo Brazzaville katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu ni sehemu ya harakati za Stars kusaka tiketi ya kushiriki fainali za dunia kwa mara ya kwanza katika historia yake.
Baada ya mchezo wa leo Tanzania watacheza tena na Niger Septemba 9.
Msimamo wa Kundi E unaonekana ivi
Kikosi Cha Stars kikitoka hotelini kwenda uwanjani kuikabili Congo Brazzaville
Kikosi Cha Stars kinachoanza dhidi ya Congo Brazzaville
Kipindi cha kwanza kimeanza katika dimba la Alphonse Massemba
Dakika ya 16' ya mchezo bado ni 0-0
foul katika eneo la hatari wanapata taifa stars dakika ya 21'
dakika ya 34' bado 0-0
Mpira ni HT' 0-0
tumerejea kipindi cha pili
Jamhuri ya Congo wanaweka Goli la kwanza dakika ya 69' Dechan Moussavou
Taifa stars wana level dakika ya 84'Seleman Mwalimu
Full Time Congo Brazzaville 1-1 Tanzania