Ah wapi!!Uganda ndio wana team ya kwenda wc
Sema Okello mtu sanaUganda ndio wana team ya kwenda wc
Timu ya ccm ishafungwa moya 🤣Goooooooal.
Tumefungwa bana
******* sanaWekeni namba za makocha tuwasalimie maaniner
Au sioBora wacheze kina Saadun
Kwakua tu hamna cha kuangalia 😆😆
Wakina Samatta huwaga hawanaga cha maana
Ushabiki wa porini huu wa kutukana au kupigana kuhusu mpira.******* sana
Yani wanaboa vibaya sanaAu sio
Bora pamoja na kuvamiwa hawajachomoa nyaya.Goooooooal.
Tumefungwa bana
Yani wanaboa vibaya sanaAu sio