Labda MUNGU atusaidie tusife na kuondoshwa Kwa aibuKimazabemazabe tunaweza kujikuta tupo World Cup.
Mechi ipo ZBC 2 wakuu......Channel gani wanaonesha?
Dstv chanel no 199Channel gani wanaonesha?
Anapita mmoja kwenye kundiTunawapiga tunakuwa na point 12
Naona Stars imeingia kutafuta sareTimu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuivaa Congo Brazzaville katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu ni sehemu ya harakati za Stars kusaka tiketi ya kushiriki fainali za dunia kwa mara ya kwanza katika historia yake.
View attachment 3465391Dakika ya 16' ya mchezo bado ni 0-0
Baada ya mchezo wa leo Tanzania watacheza tena na Niger Septemba 9.
View attachment 3465392
Msimamo wa Kundi E unaonekana ivi
View attachment 3465819
Kikosi Cha Stars kikitoka hotelini kwenda uwanjani kuikabili Congo Brazzaville
View attachment 3465890
Kikosi Cha Stars kinachoanza dhidi ya Congo Brazzaville
View attachment 3465967
Kipindi cha kwanza kimeanza katika dimba la Alphonse Massemba
foul katika eneo la hatari wanapata taifa stars dakika ya 21'
dakika ya 34' bado 0-0
Wanacheza kutafuta sare sio kushindaTunawapiga tunakuwa na point 12
Vipi Tunatoboa?Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuivaa Congo Brazzaville katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu ni sehemu ya harakati za Stars kusaka tiketi ya kushiriki fainali za dunia kwa mara ya kwanza katika historia yake.
View attachment 3465391Dakika ya 16' ya mchezo bado ni 0-0
Baada ya mchezo wa leo Tanzania watacheza tena na Niger Septemba 9.
View attachment 3465392
Msimamo wa Kundi E unaonekana ivi
View attachment 3465819
Kikosi Cha Stars kikitoka hotelini kwenda uwanjani kuikabili Congo Brazzaville
View attachment 3465890
Kikosi Cha Stars kinachoanza dhidi ya Congo Brazzaville
View attachment 3465967
Kipindi cha kwanza kimeanza katika dimba la Alphonse Massemba
foul katika eneo la hatari wanapata taifa stars dakika ya 21'
dakika ya 34' bado 0-0
Halafu tunaenda wapi?Tunawapiga tunakuwa na point 12