FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Kipindi Yanga anafikishana matuta na Al Ahly mjini Cairo ulikua bado upo kwenu Kakonko?
Hujui kitu, Yanga alifungwa Cairo kwenye hiyo mechi na kufanya matokea yawe 1-1, kuweka mizania sawa na matokeo ya Dsm. Hivyo kwa historia pia Yanga hajawahi pata draw mbele ya Al Ahly Misri.

Pili, Al Ahly hii ni bingwa mtetezi ila Al Ahly ya wakati huo ilikuwa inahitafuta, kutegemea Yanga kupata draw Cairo ni kutegemea kuona bikra labor ward.
 
Wewe ndiye unatamani iwe hivyo, ila mpira haupo hivyo kama hesabu za matikiti. Tunajua Yanga ikipita utaumia, ila kundi kila mtu ananafasi na kwenye mpira lolote linawezekana.
Haiwezi Kupitia imeshawakata
 
Nakubaliana na wewe kusema mahesabu magumu, lakini kusema hayana uhalisia umekosea. Yanga anaweza kushinda hapa taifa na anaweza kudraw Cairo pia
Hana uwezo huo Kwa hizimechi 2 alizosalia nazo 😆😆
 
Yanga safari ndio imeisha, hata wakishinda wiki ijayo dhidi CRB bado hawana uwezo wa kutoa draw na Al Ahly Cairo, beki Mwamnyeto Maguire, Cairo lazima wachomeshe tu.
Haya maneno tuliyasikia sana kuelekea mechi ya marudiano kule Tunisia.
 
Kundi limeshakuwa gumu kwa Yanga. Na walio kwenye nafasi mbili za juu wanamalizia mechi zao za mwisho home.

Ova
 
Team ndondokela mmeanza sasa, tarehe 23 sio mbali b…
Ndiyo utajua nini maana ya mwakarobo.
Weka milion 1 kwa kila mechi za Yanga vs CR na Al Ahly. Atashinda zote. Upige hela😀😀
Ila kwa mpira wa Yanga angeenda shirikisho angefika fainail mapema. Msimu ujao mjitahidi muende shirikisho
 
Okay Kwa hio Yanga ya kipindi kile ilikua imejipata?
 
Unazingua sana mbona mwaka 2014 alitoa nae sare hapo misri
 
Shukran sana msaidizi "mua sibu".
 

Tuzidi kuweka kumbukumbu sawa.
YANGA walishawahi kupata sare ya 1-1 na hao hao Ahly ndani ya dakika 90 huko huko Cairo kipindi Cha kocha Plujm.
Walikuja kufungwa kwenye extra time na kuwa 2-1 na aggregate kuwa 3-2 baada ya sare ya 1-1 kwa Mkapa.

Hakuna kisichowezekana.
 
Good wishers wengi wa YANGA wanapigia hesabu kuifunga CRB na ku draw na Ahly.
Uongozi wa YANGA wakienda na mentality hii wataishia kwenye malengo yao ya makundi, lakini bonus ya robo na kuendelea itakua ngumu sana.
Kama wanataka hiyo bonus waweke lengo la kushinda Misri wakikosa ushindi waangukie kwenye sare.
Ukiweka lengo la sare nyumbani kwa Ahly atakufirimba tu.
 
Ungeongeza tu maneno machache… Ila wana nafasi.
Nadhani kwa kuwa sikuongeza neno 'hawana nafasi', automatically ni sawa na kuainisha kwamba wanayo nafasi.

Labda ni lwa vile sijazoea kutumia maneno mengi kwa kuelezea jambo dogo. Ni hivyo b...

Ova
 
Nadhani kwa kuwa sikuongeza neno 'hawana nafasi', automatically ni sawa na kuainisha kwamba wanayo nafasi.

Labda ni lwa vile sijazoea kutumia maneno mengi kwa kuelezea jambo dogo. Ni hivyo b...

Ova
B… wake mtu hajawahi kushindwa. Niseme tu ukweli nimecheka sana. Lol
 
Ni sahihi japo hilo la Al Ahly ni hesabu za mwisho kabisa, kilichopo sasa ni kuhahakikisha wanaweka target ya kuumaliza mchezo wa kufuzu robo fainali tarehe 24 kwa kujipanga wapate magoli zaidi ya matatu dhidi ya CRB. Hili litafanya wachezaji wawe na kiwango kikubwa cha kupambana hata wakikosa goli hizo nne ila itawafanya wapate mapambane wapate magoli kwa wingi.

Sasa baada ya kujua mlichovuna dhidi ya CRB ndio mipango ya mechi ya mwisho inapangika. Ila kama mechi imeenda hovyo inamaana hakuna tena mahesabu ya Cairo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…