FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Wakifungana points na Cr Belouzidad kigezo kitachotumika kupitisha timu ni H2H baina ya hizo timu mbili zilivyokutana.

Alikuelimisha mwana Uto mwenzako lakini bado huelewi

Kweli jambo dogo kama hili nalo la kuhitaji tuition?
Umesoma comment yake ili ubishane au ulisoma ili uelewe alichoandika? Embu soma alichoandika halafu angalia upuuzi wako uliyoujibu
 
Wakifungana points na Cr Belouzidad kigezo kitachotumika kupitisha timu ni H2H baina ya hizo timu mbili zilivyokutana.

Alikuelimisha mwana Uto mwenzako lakini bado huelewi

Kweli jambo dogo kama hili nalo la kuhitaji tuition?
Tatizo hua huna akili ila hauji kama huna, Yanga hahitaji kushinda goli 3 kwa CRB cha msingi ashinde hata goli moja game ya mwisho akakomae na sare away unataka kuleta ligi uonekane umo
 
Asec mimi simhofii hata kidogo

Hii michuano sisi ndio tunajua tunaicheza vipi.

Atapigwa kipigo mtabadili maneno mseme kwasababu walikuwa wanauhakika wamepita
Nyie mnaijua kuliko ASEC? kweli mental health is real
 
Tatizo hua huna akili ila hauji kama huna, Yanga hahitaji kushinda goli 3 kwa CRB cha msingi ashinde hata goli moja game ya mwisho akakomae na sare away unataka kuleta ligi uonekane umo
Sare away dhidi ya timu gani?
 
Kwamba Al Ahly hua hatoi sale kwake au what so special?
Na timu ndogo haiwezekani

Labda itokee miujiza.

Na hilo labda lichangiwe na vile vitu ambavyo vina trend kuihusu Yanga.
 
Back
Top Bottom