FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

FT 0-0
Miarabu imeruka ruka tu uwanjani igawane point ili iwatoe kina Med na mwenzake.
 
Zimebaki Mechi 2 Za nguvu


Yanga v/s CRB

AHL v/s Yanga

Kwa Msaada Majini ... tutapita.!
Tuombeeni kwa Shetani
 
Kiufupi ni kwamba katika group D zile timu ndogo zote zimemaliza mechi zao nyepesi.

Wakati timu kubwa wamebakisha mechi nyepesi.

Medeama kumfunga CR Belouzidad itakuwa maajabu ya soka.
Mechi nyepesi ni zipi? Unajiona mjuaji halafu unaongea pumba. Kila timu imecheza mechi nne nne je unaweza kutuorodhoshea mechi nyepesi ni yupi against yupi?
 
Back
Top Bottom