FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Bado hata wakishinda, Belouizdad ana faida ya kukutana na Medeama kule Algeria, huku Yanga akikutana na Ahly kule Egypt
Sawa na wakati huo Yanga itakuwa inahitaji sare tu Misri
 
Belouizdad alifungwa na Medeama mechi ya kwanza
Niliangalia ule mpira ndio maana nasema hana mpira wa kumsumbua.

Goli la pili la Medeama halikuwa halali kwasababu mchezaji wa Medeama aliunawa mpira na wachezaji wa Cr Belarouzidad walisizi wakijua refa atapuliza filimbi
 
Ndio maana nikasema kama mechi itaisha kwa sare, basi mechi zitakazofuata
Yanga vs Belouizdad
Na Medeama vs Al Ahly zitatoa taswira ya hili kundi. Timu zote nne mpaka sasa kila mmoja anayo nafasi ya kufuzu
 
Yanga anapita

BCD ilitakiwa ashinde
 
Back
Top Bottom