FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Ukiwatizama Al Ahly wachezaji wake key player amewapumzisha ,ila huisi utofauti na hapo unaweza ukakuta wametwanga mechi nyingi za ligi. Sasa njoo kwetu huku....... viporo juu ya viporo halafu baadae wakipangiwa mechi mfululizo wanaanza kulalamika.
Al Ahly mara ya mwisho kucheza mechi ni mwaka jana
 
Ukiwatizama Al Ahly wachezaji wake key player amewapumzisha ,ila huisi utofauti na hapo unaweza ukakuta wametwanga mechi nyingi za ligi. Sasa njoo kwetu huku....... viporo juu ya viporo halafu baadae wakipangiwa mechi mfululizo wanaanza kulalamika.
Huhisi utofauti wakati wanapelekewa moto?kwa taarifa yako,Al Ahly wana viporo 6,nenda kaangalie msimamo wa ligi ya Misri
 
Huyu jamaa aliye vaa namba 29 wa Al Ahly anawenge sana kama angetulia kuna uwezekano angepata goli.
 
Back
Top Bottom