FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Aliou Dieng na Percy Tau hawachezi mechi ya leo. Kufikia hapa tumeshafunga mahesabu ya hili kundi, tusubiri msimu ujao.

Waarabu leo wataamua wasiuane wenyewe kwa wenyewe, mechi itaisha kwa sare halafu wanapeana kila la kheri kila mmoja akapambane vita yake.
 
Kuna Kenge Wanajiona Mashabiki Wa Belouizdad Kindakindaki Kwenye Hii Mechi.
 
Kwa wale wanaopenda kuangalia kwa live streaming nawapa hii link ni [emoji95][emoji95] ... 808bola andika kama ilivyo google ingia mwenyewe ujionee mechi zote duniani live
Kwa hiyo hadi mechi za kule kambi ya jeshi uwanja wa Meja Generali Isamuhyo zinaonyeshwa humo?

Halafu mbona sioni hii game humo?
 
Back
Top Bottom