FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Dk 28 milango bado ni migumu ila Al Ahly wanapelekewa moto vibaya sana..
20240216_214307.jpg

Kikosi Al Ahly
 
Game ya moto sana hii ila hapa ni Ahly kufa au droo
 
Kwq yeyote hapa, hawa Utopolo Wanaobebwa kwa Mechi kama ya Kagera Wataweza?
 
Ukiwatizama Al Ahly wachezaji wake key player amewapumzisha ,ila huisi utofauti na hapo unaweza ukakuta wametwanga mechi nyingi za ligi. Sasa njoo kwetu huku....... viporo juu ya viporo halafu baadae wakipangiwa mechi mfululizo wanaanza kulalamika.
 
Back
Top Bottom