Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Full time au?Azam vs Geita.
moya bin moya
Ndio kipindi cha pili kinaingia sasaFull time au?
Hapo watakaza watoe sare,wakija dar paki bus toa sare,ye anamaliza na medeama nyumbani yanga ugenini ahlyKwanini Al Ahly asishinde?
Ngoja tuone pengine ule wakati wao wa kukata pumzi umeshaanza mapema tuNdio kipindi cha pili kinaingia sasa
Dakika 49Full time au?
Wapuuzi hawana lolote, wanajua kukamia Simba tuNgoja tuone pengine ule wakati wao wa kukata pumzi umeshaanza mapema tu
Mbona Yanga pia anamkamia ila huwa anajipapatua mpaka wanapata ushindi? Kwasasa mechi ya Azam vs Simba&Yanga haiwi mechi nyepesi.Wapuuzi hawana lolote, wanajua kukamia Simba tu
Yanga huwa anajipigia mara zoteMbona Yanga pia anamkamia ila huwa anajipapatua mpaka wanapata ushindi? Kwasasa mechi ya Azam vs Simba&Yanga haiwi mechi nyepesi.
FT Azam 2-1Full time au?
Umemfunga mdomo walai...Ila walifungwa na Yanga?