FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Hawa CRB wanaonekana ni machachari ila wanakosa uhatari. Sasa dawa yao wakifika tu JNIA wanatupiwa jini mahaba moja matata sana yan humo ndani ya hoteli watakesha wanapiga puli usiku kucha. Kesho yake wanakuja wamerendemka tunawapiga migoli ya uzazi.

Acha majini yatembee
 
Hawa Belouzdad mbona wanashindwa kuimaliza game yao kabisa hii
 
In case Mechi ikiisha kwa sare

Screenshot_20240216-233050.png
 
Huyu Wamba kapoteza nafasi nzuri
 
Sio mbaya sana kwa Yanga kama wakimfunga CRB kwa mkapa.
Ni mbaya tena sana

Ili iwe nzuri kwao inatakiwa ashinde ushindi kuanzia 3 tena kwa clean sheet

Kwasababu huko mbeleni wakiwa na point sawa itabidi h2h ifumike ambapo Yanga hatopita.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ni mbaya tena sana

Ili iwe nzuri kwao inatakiwa ashinde ushindi kuanzia 3 tena kwa clean sheet

Kwasababu huko mbeleni wakiwa na point sawa itabidi h2h ifumike ambapo Yanga hatopita.
CRB anaweza mshindwa Med
 
Back
Top Bottom