FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Mechi imeisha kama nilivyotabiri.

Kumbukeni Yanga hawezi kumfunga CRB kwa tofauti ya goli 3 (na wakifanya mchezo wanaweza kupoteza vile vile). Wakisema wacheze kwa kuzitafuta goli nyingi, pakacha la kina Mwamnyeto nalo litakuwa linavuja.

Kwa maana hiyo hata akimfunga katika mechi ijayo, CRB bado ana uhakika wa kumfunga Medeama mechi ya mwisho. Yanga hawezi kumfunga Al Ahly kwao katika mechi ya mwisho, hilo haliwezi kutokea.

Kwa hiyo, baada ya mechi za mwisho hata Yanga na CRB wakilingana points, wataangalia kwanza walivyokutana aggregate inasomaje.

Hayo ndiyo mahesabu.
 
Mechi nyepesi ni zipi? Unajiona mjuaji halafu unaongea pumba. Kila timu imecheza mechi nne nne je unaweza kutuorodhoshea mechi nyepesi ni yupi against yupi?
Washika mkia
 
Mechi imeisha kama nilivyotabiri.

Kumbukeni Yanga hawezi kumfunga CRB kwa tofauti ya goli 3 (na wakifanya mchezo wanaweza kupoteza vile vile). Kwa maana hiyo hata akimfunga katika mechi ijayo...
Yanga hahitaji kushinda goli 3 tumia akili cha msingi ashinde tu mechi ya CRB game ya mwisho atafte sare
 
Mechi imeisha kama nilivyotabiri.

Kumbukeni Yanga hawezi kumfunga CRB kwa tofauti ya goli 3 (na wakifanya mchezo wanaweza kupoteza vile vile). Kwa maana hiyo hata akimfunga katika mechi ijayo...
Kama Yanga akishinda hata goli moja dhidi ya CRB, kule Misri wala haitaji ushindi bali ni sare pekee
 
Group D unaweza kusema halijacheza mechi yeyote.

Unaweza kudhani hizo timu zilikuwa na majukumu mengine ambayo ilihitajika kusogeza mbele mechi zao mpaka pale watapomaliza hayo majukumu mengine.

Maana lipo kama lilivyopangwa

Na inshallah kitaisha hivyo hivyo

Screenshot_20240217-000849.png
 
Mechi imeisha kama nilivyotabiri.

Kumbukeni Yanga hawezi kumfunga CRB kwa tofauti ya goli 3 (na wakifanya mchezo wanaweza kupoteza vile vile). Wakisema wacheze kwa kuzitafuta goli nyingi, pakacha ...
Mpira hauko ivo mkuu, waarabu wasipobebwa wanafungika tu vizuri.

Waarabu bila figisu ni wa kawaida tu. Tumeona hata huko Afcon walivopelekewa moto
 
Yanga hahitaji kushinda goli 3 tumia akili cha msingi ashinde tu mechi ya CRB game ya mwisho atafte sare
Hongera kwa kumpa ahly ushindi agaist mediama wakilimwaga tena sare tutaendelea kufurahi maana ahly itambidi ashinde game ya yanga na hawezi kuzuilika likihitajika.
 
Mechi imeisha kama nilivyotabiri.

Kumbukeni Yanga hawezi kumfunga CRB kwa tofauti ya goli 3 (na wakifanya mchezo wanaweza kupoteza vile vile). Wakisema wacheze kwa kuzitafuta goli nyingi...
Wewe tafta mme uolewe mpira hajui Yanga akishinda home anafikisha points 8 CRB anabaki na points 5 mechi ya mwisho akipata draw anafikisha points 9 ambazo CRB hawezi fikisha sasa goli 3 za nini ?
 
Yanga hahitaji kushinda goli 3 tumia akili cha msingi ashinde tu mechi ya CRB game ya mwisho atafte sare
Wakifungana points na Cr Belouzidad kigezo kitachotumika kupitisha timu ni H2H baina ya hizo timu mbili zilivyokutana.

Alikuelimisha mwana Uto mwenzako lakini bado huelewi

Kweli jambo dogo kama hili nalo la kuhitaji tuition?
 
Wewe tafta mme uolewe mpira hajui Yanga akishinda home anafikisha points 8 CRB anabaki na points 5 mechi ya mwisho akipata draw anafikisha points 9 ambazo CRB hawezi fikisha sasa goli 3 za nini ?

Tatizo ni hiyo Sare na kushinda hapo TZ

KWENYE maandishi you make sense , kwenye ground ni kitendawili

Waarabu nao watakuja kwa lengo1
 
Back
Top Bottom