Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okoa jahaziMetacha hamna kipa hapo
Woyooi wanaoshambulia washapigwa kimoja 😂😂Mbona kama Yanga ndo wana mashambulizi hatari.
Nani kasema mnakata tamaaMuda badoo hatukati tamaa 🙇🙇🙇😖
Mtawapata?Wametangulia
Sana. Wanacheza vizur sana na bado wananafasi ya kufunga wasipopanicIla yanga wanacheza vizuri.
wameyangulia tu ila wanapigwa hawaLeo mnapigika mno
duuh watu mko chaaap ila hii mechi inaisha kwa sare ya bao 1-1 wakuu tunzeni haya maneno yanga ataanza kushinda jamaa watchomoa baadae sana
KweliSana. Wanacheza vizur sana na bado wananafasi ya kufunga wasipopanic