Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka afanye nini?Metacha hamna kipa hapo
Leo hamna cha Nzengeli wala nini😁😁Max nzengeli lazima akiwashe leo
Yule bado hajaanza mapenzi!
kumfunga mtu 5 sio kazi rahisi akiw n timu nzuriVilijidai vinataka kupishana na mwarabu nyumbani kwake, wakitaka kuamini kwamba tano ni kitu cha kawaida waendelee kupishana nae
Hawa ni Yanga au Barcelona ya Rijkaard. Hawaogopi kufunguka ugenini? Ubaya wa hii gambling ya Yanga anaweza kula mkono kama hata waheshimu jamaa.
Tuliaa😖😖😖😖!Nani kasema mnakata tamaa
Mcheza kwao hutunzwatunanyimwa penati.hapa
SpikaTuliaa😖😖😖😖!