FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Yanga wakiendele kupush kwa nguvu hapo kwenye kumi na nane watapata Goli. Wakomae
 
Kosa kubwa maishani mwangu nimelifanya October 18 2022. Ndio siku nilianza kushabikia mpira. Maumiv yake si mchezo😭
Nifanyeje niache jamani, nirudi kwenye muvi zangu
Quit kufualitia kila kitu kinachohusu michezo na hakikisha unaweka upenzi wa dhati katika jambo jipya unalotaka kulitumia ili kuacha upenzi wa mpira.Hapa hata ukikutana na watu wanajadili mpira kaa mbali ..Usijindanganye kutaka kufahamu lolote juu ya klabu yako.Vaa miwani ya mbao na dhamiria toka ndani.
 
Yanga wanaupiga mwingi sana,kosa kubwa walilofanya ni kuruhusu magoli kipindi cha kwanza,all in all wanaupiga mwingi,wapate hata goli moja jamani.Nasikitika sana,nimekua mpweke sana,mbaya zaidi nimesoma taarifa majuzi,eti upweke ni mbaya sana ukilinganisha na mtu anayevuta sigara.Daaah! matokeo yakibaki hivihivi hadi mwisho,ntakua kama nimevuta pakiti tatu za fegi leo,kwa upweke.
 
Hata Argentina mechi ya kwanza makundi alipigwa na Saudi Arabia mwisho wa siku akawa bingwa na huo ndio mwendo wa mabingwa ,hata alipigwa bado Yanga ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika mashindano haya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa kuonewa huruma weyeee.
Yaani ww ndiye unionee huruma wakati kuamzia viongozi ,mashabiki mpaka wachezaji wote mmpanic. Au unzni matokeo ya leo ndio yatabadilisha hali mliyo nayo huko kwenu.

Kwanza ushanunua ticket na kujipatia jezi mpya au na ww umesusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…