DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sasa kieleweke nini Watu wshalamba 2 mkuu 🤣🤣Hakuna kulala mpaka kieleweke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kieleweke nini Watu wshalamba 2 mkuu 🤣🤣Hakuna kulala mpaka kieleweke
Oneni huyu poyoyoKwenye hilo group lao, Al Ahly na hawa CRB ndo wanaenda.
Kule ni Simba na Wydad.
Mark my words.
Leo had usemee yoteee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa wana pira la mahesabu sana na ukabaji wao wa nidhamu ya hali ya juu
Huyo na jipigia,then round ya pili ya ligi nakugonga tena na kocha wako mpya.
😂😂😂😂Had msemee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa kuonewa huruma weyeee.Huyo na jipigia,then round ya pili ya ligi nakugonga tena na kocha wako mpya.
siku hizi hakuna mahabaaa.!!🎼😂😂Teh teh teh 😂😂😂😂 ....komaa mpaka mwisho hayo ndio mahaba na uzalendo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yatapitaaa, yana mwiiishooo..!![emoji443]
Quit kufualitia kila kitu kinachohusu michezo na hakikisha unaweka upenzi wa dhati katika jambo jipya unalotaka kulitumia ili kuacha upenzi wa mpira.Hapa hata ukikutana na watu wanajadili mpira kaa mbali ..Usijindanganye kutaka kufahamu lolote juu ya klabu yako.Vaa miwani ya mbao na dhamiria toka ndani.Kosa kubwa maishani mwangu nimelifanya October 18 2022. Ndio siku nilianza kushabikia mpira. Maumiv yake si mchezo😭
Nifanyeje niache jamani, nirudi kwenye muvi zangu
Goals je73'. Possession. 42.7 kwa 57.3
Yaani ww ndiye unionee huruma wakati kuamzia viongozi ,mashabiki mpaka wachezaji wote mmpanic. Au unzni matokeo ya leo ndio yatabadilisha hali mliyo nayo huko kwenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa kuonewa huruma weyeee.
Chomoa kama inaumaHata Argentina mechi ya kwanza makundi alipigwa na Saudi Arabia mwisho wa siku akawa bingwa na huo ndio mwendo wa mabingwa ,hata alipigwa bado Yanga ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika mashindano haya.
Kumbuka hata 5imba mechi ya kwanza alipigwa msimu uliopita hata Yanga pia.Sasa vipi mabingwa wa Shirikisho mna la kusema 🤣🤣🤣🤣...
Siku nyingine mjue kutofautisha kati ya Shirikisho na Club bingwa 🤣🤣🤣🤣🤣