FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023


Bado hujasema na utasema tu
 
Dah!...pole mkuu, yatapita tu... muhimu kuwa na subira.
 
Mechi magoli mzebaba

Hii ni kama ile tuliyocheza na simba, pira jiiingi afu mwenzio anabeba kombe.
Mie nazungumzia mchezo, we unazungumzia matokeo.
Hatuwezi kuelewana. Mie nautizama mchezo naona yanga anacheza vizuri, mie kama mwanasoka, mpenzi wa soka naisifia yanga kucheza vizuri jaoo hajapata matokeo mazuri.
 
Wala siwezi kusema Asante,hapa kila eneo la mwili wangu,kuna hasira,tena hasira kali sana.Nikiguswa tu hata mkono,reaction yake ni kubwa sana.Usiriplai hii komenti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufa kwa kuchekaa wallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…