FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Yanga wanaupiga mwingi sana,kosa kubwa walilofanya ni kuruhusu magoli kipindi cha kwanza,all in all wanaupiga mwingi,wapate hata goli moja jamani.Nasikitika sana,nimekua mpweke sana,mbaya zaidi nimesoma taarifa majuzi,eti upweke ni mbaya sana ukilinganisha na mtu anayevuta sigara.Daaah! matokeo yakibaki hivihivi hadi mwisho,ntakua kama nimevuta pakiti tatu za fegi leo,kwa upweke.

Bado hujasema na utasema tu
 
Dah!...pole mkuu, yatapita tu... muhimu kuwa na subira.
 
Mechi magoli mzebaba

Hii ni kama ile tuliyocheza na simba, pira jiiingi afu mwenzio anabeba kombe.
Mie nazungumzia mchezo, we unazungumzia matokeo.
Hatuwezi kuelewana. Mie nautizama mchezo naona yanga anacheza vizuri, mie kama mwanasoka, mpenzi wa soka naisifia yanga kucheza vizuri jaoo hajapata matokeo mazuri.
 
Wala siwezi kusema Asante,hapa kila eneo la mwili wangu,kuna hasira,tena hasira kali sana.Nikiguswa tu hata mkono,reaction yake ni kubwa sana.Usiriplai hii komenti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufa kwa kuchekaa wallah.
 
Back
Top Bottom