FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Sishangai viongozi wa utopolo kusema malengo yao ni kuishia hatua ya makundi walijua kabsa uchawi hauwezi panda ndege
 
Ila mtani bado ana nafasi maana anamiliki dimba vizuri
Ila angalia wanapozuiwa na kushambuliwa...

Kwa kifupi wamewaacha wakimbie weee... wachoke kwa sana...ili wachezee vichapo vya kutosha...
Huko fitna ndiyo imeanzia[emoji1787]
 
Nimesave hii comment.

Nitakurudia dkk 90 zikiisha.

Yanga tunaweka makocha wasomi tu, leo mtashangazwa.

Tuendelee kuangalia game mkuu, 2nd half hio.
Pombe sio chai bwashee ukizidisha utaropoka baadae kwamba wewe ndio bosi mkuu wa Uto ilhali humiliki hata guta, boli lenyewe unaliangalia ukiwa na chupa ya mvinyo wa banana ndani ya kibanda umiza 😂😂
 
Back
Top Bottom