Lolo ππsasa jamani azam wapewe nini jamani
UtoNani mshindi?
Mi nataka tathmini ya Diarra basi.Wanayanga tufanye tathmini basi kihasibu chap kisha tulale
leo jamani warembo wa yanga tunajienjoy wapi ubingwa wetu?Wanayanga tufanye tathmini basi kihasibu chap kisha tulale
Na kibaya zaidi ukilamba na ice cream ndiyo pilipili inazidi kuwasha π€£
Lala ukue tunyama tuongezeke. Have a nice sleepWacha nilale nikuwe ππ
Kuna maisha mengine baada ya kukamilisha starehe β½οΈ
Hayana tofauti na maccmazam ni makande kabisa
Hapa walitangulizwa na baiskeli ya mti kitonga kwenye mteremko.YANGA - βββοΈβοΈβοΈβοΈβοΈββοΈ
AZAM - βοΈβοΈβββοΈ βοΈβοΈββ
YANGA MABINGWAAAA
View attachment 3006987
Wapo kolo waliosema usajili wa key ililikuwa hasara na walitaja 400mlnπ€£Wanayanga tufanye tathmini basi kihasibu chap kisha tulale
naona hii methali ya ng'ombe wa maskini hazai doesnt apply anymore. maana hawa ni ng'ombe wa tajiri lakini wapiLolo ππ
Mnalakujifunza kutoka kwetuGame zote ambazo Fei anawatukana mashabiki huwa wanapoteza
Vs Yanga mechi inakuwa ngumuDube alikuwa sahihi. Ukomavu bado hii timu
Wasengerema kutoka makunduchiItoshe kusema Azam ni Wasengerema