Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Lolo 😂😂sasa jamani azam wapewe nini jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lolo 😂😂sasa jamani azam wapewe nini jamani
UtoNani mshindi?
Mi nataka tathmini ya Diarra basi.Wanayanga tufanye tathmini basi kihasibu chap kisha tulale
leo jamani warembo wa yanga tunajienjoy wapi ubingwa wetu?Wanayanga tufanye tathmini basi kihasibu chap kisha tulale
Na kibaya zaidi ukilamba na ice cream ndiyo pilipili inazidi kuwasha 🤣
Lala ukue tunyama tuongezeke. Have a nice sleepWacha nilale nikuwe 😂😂
Kuna maisha mengine baada ya kukamilisha starehe ⚽️
Hayana tofauti na maccmazam ni makande kabisa
Hapa walitangulizwa na baiskeli ya mti kitonga kwenye mteremko.
Wapo kolo waliosema usajili wa key ililikuwa hasara na walitaja 400mln🤣Wanayanga tufanye tathmini basi kihasibu chap kisha tulale
naona hii methali ya ng'ombe wa maskini hazai doesnt apply anymore. maana hawa ni ng'ombe wa tajiri lakini wapiLolo 😂😂
Mnalakujifunza kutoka kwetuGame zote ambazo Fei anawatukana mashabiki huwa wanapoteza
Vs Yanga mechi inakuwa ngumuDube alikuwa sahihi. Ukomavu bado hii timu
Wasengerema kutoka makunduchiItoshe kusema Azam ni Wasengerema