Kuna timu ina taji 0 na mwingine taji 1 wanacheza kombe la wanaume huku timu yenye mataji 2 inaenda kucheza kombe la LuzaMsimamo wa Mataji msimu huu wa 2023/24 hadi sasa uko hivi:
1) Simba Mataji 2
2) Utopolo Taji 1,
3) Mlandege Taji 1
4) Wengine wote 0
Ujanja tu wa kutafuta pesa.Mmeona NBC imewazidi.Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
----------------------------------------------------------
Updates 1920 Hours
Kikosi cha Yanga: Diara, Yao, Lomalisa, Bacca, Job (C), Aucho, Maxi, Mudathir, Mzize, Aziz Ki na Pacome
Subs: Mshery, Mwamnyeto, Kibabage, Mkude, Sureboy, Shekhan, Farid, Guede, Musonda...
Kocha : Gamondi Miguel

Kikosi cha Azam: Mohamed, Lusajo (C), Msindo, Fuentes, Bangala, Bin Zayd, Adolf, Sopu, Kipre Jr, Feitoto, Syllah
Subs: Foba, Chilambo, Amoah, Manyama, Akaminko, Sidibe, Nado, Chiwalanga, Kichindo
Kocha : Bruno Ferry
Kila la kheri timu ya wananchi.Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
----------------------------------------------------------
Updates 1920 Hours
Kikosi cha Yanga: Diara, Yao, Lomalisa, Bacca, Job (C), Aucho, Maxi, Mudathir, Mzize, Aziz Ki na Pacome
Subs: Mshery, Mwamnyeto, Kibabage, Mkude, Sureboy, Shekhan, Farid, Guede, Musonda...
Kocha : Gamondi Miguel
----------------------------------------------------------
Kikosi cha Azam: Mohamed, Lusajo (C), Msindo, Fuentes, Bangala, Bin Zayd, Adolf, Sopu, Kipre Jr, Feitoto, Syllah
Subs: Foba, Chilambo, Amoah, Manyama, Akaminko, Sidibe, Nado, Chiwalanga, Kichindo
Kocha : Bruno Ferry
Azam piga hao utopoloHatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
----------------------------------------------------------
Updates 1920 Hours
Kikosi cha Yanga: Diara, Yao, Lomalisa, Bacca, Job (C), Aucho, Maxi, Mudathir, Mzize, Aziz Ki na Pacome
Subs: Mshery, Mwamnyeto, Kibabage, Mkude, Sureboy, Shekhan, Farid, Guede, Musonda...
Kocha : Gamondi Miguel
----------------------------------------------------------
Kikosi cha Azam: Mohamed, Lusajo (C), Msindo, Fuentes, Bangala, Bin Zayd, Adolf, Sopu, Kipre Jr, Feitoto, Syllah
Subs: Foba, Chilambo, Amoah, Manyama, Akaminko, Sidibe, Nado, Chiwalanga, Kichindo
Kocha : Bruno Ferry
Matuta ya viazi labda.....Kwa Kikosi hiki Tutegemee Matuta
Kuna magape badoZanzibar is Green and Yellow
Boli la AFCON mpira wa hadhi ya CAFHii ndoo nzuri sana aisee
Kitawaka leoBoli la AFCON mpira wa hadhi ya CAF
Mtani tulia uone mpira wenye hadhi ya club bingwaKuna magape bado
Mpira utakuwa wakawaida sana.Mtani tulia uone mpira wenye hadhi ya club bingwa
Guede anaingia cha pili kama tulivyowafanyia waarabuGamondi kaniudhii hajampanga Guede wangu😣