FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

Simba anaunguruma Uarabuni lakini wanaoumia ni Uttopollo waliopo Tanzania. Majiru haya hayana akili aslani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Yote haya kisa nimesema mnalingana kiuwezo na Singida. Kuhusu kufungana mi nawewe huo sio mjadala ila kufungwa 4 mfululizo sio derby tena ushakua mpinzani wa kawaida kama navyokutanaga na Dodoma Jiji au Tz Prisons.
Tabora umemkanda mara ngapi?
 
Simba watulie halafu kocha asiridhike na goli moja aanze kuwaambia wajilinde, timu nyingine zinaweza kuipiga goli nyingi mshindi akaamriwa kwa mabao ya kufungwa.
 
Bado hujasema
Ndugu mimi ni shabiki wa mpira nje ya ushabiki wa Yanga. Hivyo mechi kama hizi huwa napenda kucheki burudani huku nikiwachachafya huku JF maana mlikua mmeshapotea kabla ya goli. Chochote kizuri nitasema na hata kibaya nitasema fuatilia.
 
Leo wanalunyasi tunamfukuza kazi kocha mwingine tena. Uttopollo njoo hapa mshuhudie game ya wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…