Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Kamuulize aliyewakumbusha mlipoenda kujipendekeza Ikulu.Mwaka 1993 kwenye nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuulize aliyewakumbusha mlipoenda kujipendekeza Ikulu.Mwaka 1993 kwenye nini ?
Jana kwa hapa Bongo hakuna mechi imechezeka.Hilo ndo goli Sasa..wachana na ule uchafu wa Jana...
Hahaa mnakimbilia kwenye moto tena
Nalingana na Baba yakoUna miaka mingapi ?
Jamaa anajua. Wale wenye akili walishasema jamaa hata kama bado hajaanza kuonesha makubwa, lakini anakupatia namba. Wengin wanataka udambwi udambwi.Jan Charz Ahowaaa.....!
Azidi Kuwashona Midomo Wachambuzi wa Bongo...!
Simba anaunguruma Uarabuni lakini wanaoumia ni Uttopollo waliopo Tanzania. Majiru haya hayana akili aslani.Siku ya Mechi Kali.
View attachment 3193301
View attachment 3193236
Mwenyeji: CS Sfaxien FC
Mgeni : Simba SC
Mashindano: CAF CC Group Stage.
Group A.
Uwanja: Stade Olympique Hammadi Agrebi Stadium, Rades, Tunisia.
Tarehe: 05th January 2025
Muda: Saa 1Jioni (EAT)
VIKOSI.
1. CS Sfaxien
2. Simba SC
View attachment 3193348
Updates On 1st Half
00' Mpira Umeanza hapa kwa kasi, Simba wamechezewa Faulo
03' SC Sfaxien wanafanya shambulizi anaokoa Camara, wakati huo anaenda chini baada ya kuchezewa Rafu na Sfaxien
Game On
0-0
05' Sfaxien wanapata free kick nje kidogo ya 18 inapigwa inagonga mtambaa panya, inakuwa offside.
0-0
10' Mpira unaendelea Ngoma anachezewa faulo katikati ya uwanja.
Inapigwa wanatengeneza shambulizi linakuwa hafifu.
Game On
0-0
13' Simba wanapata kona ya kwanza, inaondoshwa kirahisi sana.
17' Wanacheza Free Kick Sfaxien inapigwa Che Fondo Malone anaitoa kwa ustadi mkubwa kabisa.
Game On
0-0
23' Ahoua anachezewa rafu mbaya kidogo, haimuumizi mpira unaendelea sasa
0-0
26' Simba wanapata kona ya pili inapigwa na Jean Charles Ahoua inatolewa inakuwa goal kick.
Game On
0-0
27' Elia Mpanzu anapatiwa kadi ya Njano baada yakucheza faulo.
0-0
31' Ateba amechezewa vibaya hapa, imekua faulo. mpira unaendelea
0-0
33' Goooooooooooal Chumaaaaaa kituuuuuuuuuuuu.
Jean Charles Ahoua anapiga kitu cha moto Sfaxien wanakandwa hapa, wanapigwa msumari.
Ilianza kwa Che Malone Ikapigwa kwa Ateba akaitoa kwa ustadi mkubwa sana Ikamfikia Ahoua akatupia.
0-1
36' Simba wanapata kona nyingine inapigwa inakatalia.
Simba wanaumiliki sana Mpira wanacheza mpira
0-1
39' Simba wanapata kona nyingine inapigwa inaishia kwenye mikono ya kipa wa Sfaxien
Game On
0-1
44' Sfaxien wanapata free kick nje kidogo ya 18.
Inapigwa inaokolewa.
45' Nyongeza ni 1' tu.
0-1
45+1' Ateba anapewa kadi ya Njano.
Baada ya kwenda kumzuia Mchezaji wa Sfaxien asianzishe Mpira.
HALF TIME
SC Sfaxien 0-1 Simba
Tabora umemkanda mara ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Yote haya kisa nimesema mnalingana kiuwezo na Singida. Kuhusu kufungana mi nawewe huo sio mjadala ila kufungwa 4 mfululizo sio derby tena ushakua mpinzani wa kawaida kama navyokutanaga na Dodoma Jiji au Tz Prisons.
1993Miaka ya nyuma ipi ?
Ndugu mimi ni shabiki wa mpira nje ya ushabiki wa Yanga. Hivyo mechi kama hizi huwa napenda kucheki burudani huku nikiwachachafya huku JF maana mlikua mmeshapotea kabla ya goli. Chochote kizuri nitasema na hata kibaya nitasema fuatilia.Bado hujasema
hayo maelezo yametolewa na chatgpt yaani ARTIFICIAL INTELLIGENCE
Wala sitaki kuelewa mkuu.Kibonde nani tena? Au labda huelewi maana ya kibonde
Kati ya mshindi na loser nani anaumia?🤣🤣🤣🤣 tunapiga panapouma
Huyu ndo alitaka tumpe team!!!??
UpasheUzi ume poaaa
Leo wanalunyasi tunamfukuza kazi kocha mwingine tena. Uttopollo njoo hapa mshuhudie game ya wanaume.Siku ya Mechi Kali.
View attachment 3193301
View attachment 3193236
Mwenyeji: CS Sfaxien FC
Mgeni : Simba SC
Mashindano: CAF CC Group Stage.
Group A.
Uwanja: Stade Olympique Hammadi Agrebi Stadium, Rades, Tunisia.
Tarehe: 05th January 2025
Muda: Saa 1Jioni (EAT)
VIKOSI.
1. CS Sfaxien
2. Simba SC
View attachment 3193348
Updates On 1st Half
00' Mpira Umeanza hapa kwa kasi, Simba wamechezewa Faulo
03' SC Sfaxien wanafanya shambulizi anaokoa Camara, wakati huo anaenda chini baada ya kuchezewa Rafu na Sfaxien
Game On
0-0
05' Sfaxien wanapata free kick nje kidogo ya 18 inapigwa inagonga mtambaa panya, inakuwa offside.
0-0
10' Mpira unaendelea Ngoma anachezewa faulo katikati ya uwanja.
Inapigwa wanatengeneza shambulizi linakuwa hafifu.
Game On
0-0
13' Simba wanapata kona ya kwanza, inaondoshwa kirahisi sana.
17' Wanacheza Free Kick Sfaxien inapigwa Che Fondo Malone anaitoa kwa ustadi mkubwa kabisa.
Game On
0-0
23' Ahoua anachezewa rafu mbaya kidogo, haimuumizi mpira unaendelea sasa
0-0
26' Simba wanapata kona ya pili inapigwa na Jean Charles Ahoua inatolewa inakuwa goal kick.
Game On
0-0
27' Elia Mpanzu anapatiwa kadi ya Njano baada yakucheza faulo.
0-0
31' Ateba amechezewa vibaya hapa, imekua faulo. mpira unaendelea
0-0
33' Goooooooooooal Chumaaaaaa kituuuuuuuuuuuu.
Jean Charles Ahoua anapiga kitu cha moto Sfaxien wanakandwa hapa, wanapigwa msumari.
Ilianza kwa Che Malone Ikapigwa kwa Ateba akaitoa kwa ustadi mkubwa sana Ikamfikia Ahoua akatupia.
0-1
36' Simba wanapata kona nyingine inapigwa inakatalia.
Simba wanaumiliki sana Mpira wanacheza mpira
0-1
39' Simba wanapata kona nyingine inapigwa inaishia kwenye mikono ya kipa wa Sfaxien
Game On
0-1
44' Sfaxien wanapata free kick nje kidogo ya 18.
Inapigwa inaokolewa.
45' Nyongeza ni 1' tu.
0-1
45+1' Ateba anapewa kadi ya Njano.
Baada ya kwenda kumzuia Mchezaji wa Sfaxien asianzishe Mpira.
HALF TIME
SC Sfaxien 0-1 Simba
Kashindwa toa kadi Kwa muarabu plus penalty aliposhika muarabu ila ingekua Kwa bwanawake ingekua tutaHuyu refa anajitahidi kulipa fadhila kwa mabwana zake waarabu