FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

Mliwahi kubeba kombe la haya mashindano?
Subirini kwanza mpaka mmfike huku
medali-pic.jpg
 
Tushacheza robo fainali 4 utatuambia niini ww mwakarobo ujae...
Tuliza mbanga...
Robo fainali 4 kwa misimu 6 wenzako ndani ya msimu 1 tu wamecheza fainali ya icho kikombe cha wakina mama na bado unajisifu? Kama ni mwanaume kweli fika ata nusu tukuone!
 
Back
Top Bottom