venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,583
- 3,684
Aibu naona mimi😱😱Hii mechi timu yangu ya Simba itapigwa kama ngoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu naona mimi😱😱Hii mechi timu yangu ya Simba itapigwa kama ngoma
Subirini kwanza mpaka mmfike hukuMliwahi kubeba kombe la haya mashindano?
Heshima hiyo ya kugawa utamu?CAFCL ndo mashindano ya heshima
Shirikisho ni mashindano ya akina mama
Pole chura kiziwi wee..Waarabu wa mlingotini na wao wako shirikisho daaah...hiki kikombe ndio maana caf walitaka kukifuta Kuna timu huko za ajabu ajabu sana
Habari za huko shirikishoTuliza fuvu kaka unategemewa na familia energy itunze kwa ajili ya kazi za msingi...hii ya kubishana na aliekuzidi kila kitu huko CAF utajajinyea buree
Wewe Utopolo umecheza CAFCL mara ya mwisho lini???Kama nyie timu Bora chezeni CAFCL sio UMITASHUMITA mnatia Taifa aibu
Robo fainali 4 kwa misimu 6 wenzako ndani ya msimu 1 tu wamecheza fainali ya icho kikombe cha wakina mama na bado unajisifu? Kama ni mwanaume kweli fika ata nusu tukuone!Tushacheza robo fainali 4 utatuambia niini ww mwakarobo ujae...
Tuliza mbanga...
Unajisifu kupata point 4 kutoka Mazembe tu timu zingine zote zimekutoboaHabari za huko shirikisho
Funga midomo kwa timu ya aina Gani uliyocheza nayo? Kengold iliyochangamka!!Pole chura kiziwi wee..
Yani leo funga midomo yoteee imebakia midomo ya kujipa moyo...
Hiloooo utopolooo hilooooooo....tungefungwa leo midomo ingechanika kwa maneno...Funga midomo kwa timu ya aina Gani uliyocheza nayo? Kengold iliyochangamka!!