FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
πŸ”°ππ„π—π“ π”ππŸ”°

πŸ† #CRDBFederationCup
⚽️ Dodoma JijiπŸ†šYoung Africans SC
πŸ“† 10.04.2024
🏟 Jamhuri, Dodoma
πŸ•– 2:00 Usiku

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko


Kikosi kinachoanza dhidi ya Dodoma Jiji FC #CRDBFederationCup #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko




mpira umeanza
dakika 3 goallllllllll dodoma jiji fc wamejifungaa

dakika ya 8
yanga sc 1 - 0 dodoma jiji fc

Dakika ya 41
Dodoma Jiji 0-1 Young Africans
SC

𝐇𝐀𝐋𝐅 π“πˆπŒπ„β±οΈ| #CRDBFederationCup

Dodoma Jiji 0-1 Young Africans SC



Kipindi cha pili kimeanzaπŸ”°πŸ’ͺ🏽

Dakika ya 66
Mzizeeeeeeeeeeeeee⚽️

Dakika ya80
Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC

Dakika ya 88
Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC
𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„β±οΈ| #CRDBFederationCup

Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC
 
Ni mawazo yangu lakini..

Hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?

Je kazi Gani inaweza kuwafaa wachezaji wa kolo fc??
 
Kocha aichulie hii mechi serious ili kuvuka kipindi hiki Cha mpito akili za wachezaji bado zina wenge
 
kila la kheri kwa yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…