FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

Ni mawazo yangu lakini..

Hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?

Je kazi Gani inaweza kuwafaa wachezaji wa kolo fc??
Nashauri waje jangwani wasaidie kazi ya ujenzi wa uwanja... au tff wawaajiri kwa ajili ya kuokota mipira wakati wa mechi kwa mkapa
 
𝐄𝐢𝐝 𝐌𝐮𝐛𝐚𝐫𝐚𝐤 Wananchi wote dunia nzima🔰🕌🌙
20240410_112309.jpg
 
Kw

Kwanza unaonesha huna malezi mazuri kwa matusi yako hapa. Umelazimishwa na nani kuishabikia? Jiondoe kimyakimya.
Ushauri mzuri kwa makolo wote,wajitume kusajili,kufanya mazoezi na kuwekeza na sii ujanja ujanja na kucheza mpira mdomoni,kama semaji na bosi ya timu☺️
 
Back
Top Bottom