FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

Mpira umeanza kwa kasi, Dodoma Jiji wananguvu sana.
 
Sekunde 50, Yanga wanashambuliwa kwa kasi sana.
Dodoma wanapata mpira wa kurusha.
Namna gani paleee, wanashindwa kuonana
 
Azam hawaonyeshi hii game kupitia azam max..??
 
Back
Top Bottom