mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Masandawana tujuane mapema🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kocha Gamondi sijui anataka kutuonesha suprise ya aina gani! Maana amemuacha nje beki wa kulia Kibwana Shomari, na kuwaanzisha walinzi 3 wa kati!View attachment 2959911
All the Best
Hiki kikosi leo Kibabage anacheza namba ngapi?View attachment 2959911
All the Best
Inashangaza,Hapa kocha Gamondi sijui anataka kutuonesha suprise ya aina gani! Maana amemuacha nje beki wa kulia Kibwana nje, na kuwaanzisha walinzi 3 wa kati!
Halafu viungo wakabaji wawili Aucho na Mkude nao wako nje! Na hapo ameanza Kibabage upande wa kushoto; mlinzi anayefurahia kushambulia zaidi kuliko kukaba!!
Anyway, ngoja nione kitakachojiri ndani ya dakika 90. All in all nawatakia Yanga ushindi.
Kama wewe umechanganyikiwa.Hapa kocha Gamondi sijui anataka kutuonesha suprise ya aina gani! Maana amemuacha nje beki wa kulia Kibwana Shomari, na kuwaanzisha walinzi 3 wa kati!
Halafu viungo wakabaji wawili Aucho na Mkude nao wako nje! Na hapo ameanza Kibabage upande wa kushoto; mlinzi anayefurahia kushambulia zaidi kuliko kukaba!!
Anyway, ngoja nione kitakachojiri ndani ya dakika 90. All in all nawatakia Yanga ushindi.
Mnapigwa kimokoNaaam Go Go Dar Young Africans [emoji169][emoji172]
Leo tunampasua mtu Bao zisizopungua tatu na pia tutacheza soka Tamu na shangwe zitapigwa kila Kona kama Lulu Katoka jela...
Mara ya mwisho kwenye FA Tulishinda Bao TANO bila.....
Uongo hawana huo uwezo hao tutawapiga nyingi Tu tena kipindi cha Kwanza [emoji28]Mnapigwa kimoko
Interlacustrine R njoo unisaidie kumjibu huyu Kolozidad [emoji23][emoji23][emoji23]Tupo hapa sisi mashabiki lia lia wa
Mwiko Nyuma FC
Malalamiko SC
Matonya SC
Mataulo FC