FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

Dodoma jiji leo wanapiga kwenye mshono.

masandawana phobia
 
Hallah!! Dodoma, tumeshiba leo.
Kamilisheni mlo wetu sasa.

Kazi kwenu
 
Hapa kocha Gamondi sijui anataka kutuonesha suprise ya aina gani! Maana amemuacha nje beki wa kulia Kibwana Shomari, na kuwaanzisha walinzi 3 wa kati!

Halafu viungo wakabaji wawili Aucho na Mkude nao wako nje! Na hapo ameanza Kibabage upande wa kushoto; mlinzi anayefurahia kushambulia zaidi kuliko kukaba!!

Anyway, ngoja nione kitakachojiri ndani ya dakika 90. All in all nawatakia Yanga ushindi.
 
Hapa kocha Gamondi sijui anataka kutuonesha suprise ya aina gani! Maana amemuacha nje beki wa kulia Kibwana nje, na kuwaanzisha walinzi 3 wa kati!

Halafu viungo wakabaji wawili Aucho na Mkude nao wako nje! Na hapo ameanza Kibabage upande wa kushoto; mlinzi anayefurahia kushambulia zaidi kuliko kukaba!!

Anyway, ngoja nione kitakachojiri ndani ya dakika 90. All in all nawatakia Yanga ushindi.
Inashangaza,
Ngoja anyooshwe
 
Naaam Go Go Dar Young Africans [emoji169][emoji172]

Leo tunampasua mtu Bao zisizopungua tatu na pia tutacheza soka Tamu na shangwe zitapigwa kila Kona kama Lulu Katoka jela...

Mara ya mwisho kwenye FA Tulishinda Bao TANO bila.....
 
Hapa kocha Gamondi sijui anataka kutuonesha suprise ya aina gani! Maana amemuacha nje beki wa kulia Kibwana Shomari, na kuwaanzisha walinzi 3 wa kati!

Halafu viungo wakabaji wawili Aucho na Mkude nao wako nje! Na hapo ameanza Kibabage upande wa kushoto; mlinzi anayefurahia kushambulia zaidi kuliko kukaba!!

Anyway, ngoja nione kitakachojiri ndani ya dakika 90. All in all nawatakia Yanga ushindi.
Kama wewe umechanganyikiwa.

Dodoma jiji watapaniki kabisa
 
"Yanga anapigwa anaondoka"-Mtangazaji
 
Tupo hapa sisi mashabiki lia lia wa
Mwiko Nyuma FC
Malalamiko SC
Matonya SC
Mataulo FC
 
Back
Top Bottom