FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

Kuna JAMAA walisema Watu wenye BICHWA KA LA MZIZE HAWANAGA AKILI...
Kutokana na zile kosa kosa zake kwenye big MATCH..

TODAY MZIZE KAKUNJA 500K YA MAN OF THE MATCH..😊😊😊
 
Kuna JAMAA walisema Watu wenye BICHWA KA LA MZIZE HAWANAGA AKILI...
Kutokana na zile kosa kosa zake kwenye big MATCH..

TODAY MZIZE KAKUNJA 500K YA MAN OF THE MATCH..
Hao jamaa ndio waleee wa timu wenye timu iliyo pigwa 5 hawapo sawa vichwani kaka 😂😂😂😁
 
SIZITAKI MBICHI HIZI

Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mk-Ia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Subgura nakuambia.

“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.
Walipewa ofa na Simba ili wajulikane, Simba hawakuwa na mpango wa hilo ndondo cup
 
Huo ni wimbo tu wa kutungwa kama ule wa John Komba wa CCM mbele kwa mbele na nambari wani ni ccm.


Ni burudani tu wala hazina maana 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…