FT: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Jamhuri | Mei 22, 2024

Mzize kaamua kujirekebisha baada ya kumfanya kumnyima pasi mayele msimu jana leo kaona bora ampe Ki Master wananchi hatuna baya nae[emoji169]
 
Acheni utani na professional leagues kubwa jamani, tuwe realistic tu wakubwa, hivi vijamaa kwenye ligi kubwa kama epl, bundes, serie a, la Liga usivione ni vidogo ukavichukulia poa aisee, Hawa kina Aziz k ni level za huku kwetu tu ukimpeleka huko utachekesha watu sheikh, tuwe wakweli tu..... Timu ya championship kama Leicester wakija huku hakuna timu itakula chini ya chuma 3 mpaka ligi iishe, labda tuwachezeshe viwanja kama kile Cha jkt kilichojaa tope, ila kwenye standard pitches tutachezea sana, wangekua na viwango hivyo wangeenda huko kitambo Kuna mtu hapendi pesa kwani?
Izo timu za ulaya na Amerika zamani zilikua zinakuja Sana apa Bongo.
Mwaka 1971/1972 kama sijakosea ilikuja timu ya Taifa ya Brazil under 20 baada ya timu iyo ya Brazil kupita sehemu mbali mbali apa Africa ikicheza mechi za kirafiki bila kufungwa ilikuja apa Bongo ika kutana na Yanga pale shamba la bibi walitandikwa 3-1 na Yanga kocha wao alishangaa Sana.
Mwaka uo uo wakaja Aston villa miaka micha he nyuma walikua mabingwa wa ulaya, walikipiga pale shamba la bibi wakatoka sare ya 1-1 na Yanga .
Walikua Stock city miaka ya 90'/92' walifungwa goli Moja pale Arusha.

Kuna wachezaji hawaja pata bahati tu ya kucheza Ulaya ila wangeweza kucheza bila shida yoyote.
 
Ushasema kirafiki
 
IGTK.gif
 
Sasa wewe izo timu za ma bara tofauti zaidi ya mechi za kirafiki utacheza nazo wapi?
 
Back
Top Bottom