FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

Nibebe fc wanaendelea kupakatwa na refa kama kawaida yao, walisema wanafunga magoli mengi but Leo imebidi refa awaokoe 🤣🤣🤣
 
Makosa ya kibinadamu yameipa Simba penati na ushindi
 
Simu moja, inabadili kila kitu.

K.simba: Mnatukamia sana mzee, hawa watu watanitoa.

K.D. Jiji: Limeisha hili mzee. After HT kijana wangu mmoja atamvuta, kijana wako sehemu ya hatari. Mpate hata kapenalt.

After HT...
Dodoma Jiji 0 - simba Penalt 1.
🤗
Kati ya Bahasha na simu kipi kina nguvu ya kubadili Kila kitu?...😃😃
 
Nibebe fc wanaendelea kupakatwa na refa kama kawaida yao, walisema wanafunga magoli mengi but Leo imebidi refa awaokoe 🤣🤣🤣
Duh! mna maneno sana
 
Back
Top Bottom