joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mnabahati na marefa msimu huu.Wee subirii match yako ya baadae, hii unatesekaa buree tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnabahati na marefa msimu huu.Wee subirii match yako ya baadae, hii unatesekaa buree tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matusi yanini kijana??Nyie mbwa, hawa Dodoma Jiji wanazotoa mipira nje hovyo ndo mlitarajia waifunge Simba?
Km nyiee tyuuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnabahati na marefa msimu huu.
Wapuuzi hujibiwa kipuuzi.Matusi yanini kijana??
Kule Mbeya wakawanyonga watoto WA watu goli Lao😄😄Km nyiee tyuuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
90 minutes cjaona creation ya CLEAR CHANCE kwa SIMBA...
FADLU DAVIS bado sana
Hawakumbukiii, huwa wanatakaa wabebwee wao tyuuh.Kule Mbeya wakawanyonga watoto WA watu goli Lao[emoji1][emoji1]
Barua❎ Balua✅Barua awe anatoa mpira haraka mguuni.
kuliko keng gold 🤣Hii game tuombe tu tupate point 3 muhimu, ila jamaa wanapiga boli
YeahRatiba ingekuwa ngumu, vijana wamechoka.