FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

Simu moja, inabadili kila kitu.

K.simba: Mnatukamia sana mzee, hawa watu watanitoa.

K.D. Jiji: Limeisha hili mzee. After HT kijana wangu mmoja atamvuta, kijana wako sehemu ya hatari. Mpate hata kapenalt.

After HT...
Dodoma Jiji 0 - simba Penalt 1.
[emoji847]
BL tuliaa, subiriii game yako ya baadae, na nyie mbebwee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pangekuwa na super sub benchini , leo ATEBA game imemkataa
 
Back
Top Bottom