GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
UchovuPangekuwa na super sub benchini , leo ATEBA game imemkataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UchovuPangekuwa na super sub benchini , leo ATEBA game imemkataa
Simu moja, inabadili kila kitu.
K.simba: Mnatukamia sana mzee, hawa watu watanitoa.
K.D. Jiji: Limeisha hili mzee. After HT kijana wangu mmoja atamvuta, kijana wako sehemu ya hatari. Mpate hata kapenalt.
After HT...
Dodoma Jiji 0 - simba Penalt 1.
🤗
Mnaona hata hamfurahii. Mnajua hapo hamna timu. Mna kina Debora na wenzake 😆😆😆😆BL tuliaa, subiriii game yako ya baadae, na nyie mbebwee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pangekuwa na super sub benchini , leo ATEBA game imemkataa
NdioBila👇👇👇👇??😂View attachment 3110434
BL Tuna furahaa na telee, tatizo ni nyie mnalazimisha tusiwe na rahaaa,Mnaona hata hamfurahii. Mnajua hapo hamna timu. Mna kina Debora na wenzake [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
MpeBarua awe anatoa mpira haraka mguuni.
Ndio akili zilikoishia 🐸Simu moja, inabadili kila kitu.
K.simba: Mnatukamia sana mzee, hawa watu watanitoa.
K.D. Jiji: Limeisha hili mzee. After HT kijana wangu mmoja atamvuta, kijana wako sehemu ya hatari. Mpate hata kapenalt.
After HT...
Dodoma Jiji 0 - simba Penalt 1.
🤗
Ratiba ingekuwa ngumu, vijana wamechoka.Uchovu
Atafune hivyo hivyo mithili ya Mbuzi anakula majani ya mchongoma mpaka mwisho wa musimu.Mexime anatafuna Big jii kama zile Enzi Za mzee Ferguson
AKILI ZAKO za usiku kalale 😅😅😅Jikaze naona maumiv yanaelekea avic town 🤣
Wametumwa na mbunge wao Mavunde, shabiki na mwanachama kindaki ndaki wa Utopolooo.Hawa dodoma jiji wanacheza kama ndo mechi ya mwisho ya ligi inayoamua bingwa.