FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

Hatushindani kubebwa mkuu, mpira ulikuwa mzuri na refa alikuwa fair, Dodoma wamefanya makosa kwenye boksi wamesababisha penati wakapoteza.
Hakuna penalty pale ni muendelezo wa upuuzi wa marefa kwa kuendekeza njaaa.
Njaa inadhalilisha Sana.
 
Hakuna penalty pale ni muendelezo wa upuuzi wa marefa kwa kuendekeza njaaa.
Njaa inadhalilisha Sana.
Penati halali ile ila hukatazwi kuifuta boss.
 
Priiiiiiiiiii. Refaliii aitwaye Topolo lia lia anafuta goli pale. Dk ya 97 0-0.

Priiiii, lile goli Topolo Lialia kawapatia Dom pale ni 1-0

Priiiiiiii Topolo lia lia anamaliza kabumbu pale. What a game.
Utopolo wote wanachomoa mwiko na wanarusha juu hewani kwa furaha. Hureee hureee, ni mikoromo tu inasikika.
😆😆🤣🤣 hiyo Miko ya kukoroga nya kule nyuma hawawezi kuichomoa. Wenyewe wanakwambia wanasikia rahaaaa.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom