OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Yule jezi namba 9 ni nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mnatoaga picha wapi wadau.Nilitaka kushangaa yaani mpira uishe MZIZE hajapiga bao.View attachment 3121285
Hivi mnatoaga picha wapi wadau.
Wewe ni mutu ya Kongo?Hongera DRC
Haya yote magarasa tu. Ndio maana wapo Yanga.Wengekuwa na uwezo wangekuwa Timu za Kaskani mwa Africa. Mfano MayeleIla Kuzaliwa Nchi nyingine wakati mwingine sio fair Hiv Max ni wakukosa namba timu ya Congo? Yao Kwasi na Pacome ni wakukosa namba Ivory Cost? nina wakika wangekuwa watanzania wasingekosa first eleven yetu.
Watoto wa 2000 hawaijui CTN wala DTVYaani tunaangalia kishingo upande. Picha mbovu kabisa. Imenikumbusha enzi za CTN.
Kama vile jina taifa stars lilivyotuganda,ndivyo tulivyomganda samanta,Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo
Updates.....
Kipindi cha kwanza cha mchezo kimeanza
Dakika, 9 Mpira upo kasi sana na bado milango ni migumu kwa pande zote mbili
Dakika, 17 Ngoma bado ngumu si Mwenyeji DRC wala si Tanzania
Dakika, 30 Si Stars wa DRC ambaye amepata goli mchezo upo on fire
Dakika 45 za kipindi cha kwanza kimetamatika DRC 0-0
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika, 53 Gooooli DRC wanapata goli la kuongoza
Dakika, 58 Taifa Stars wanafanya mabadiliko anatoka Kibu anaingia Saduni
Dakika, 70 Taifa Stars wanatengeneza nafasi na kumiliki mpira
Dakika, 81 DRC wanashambulia sana dakika hizi
Na huu usimba na uyanga huu ndio unaoipa nchi aibu wenzetu nchi zao zina angalia taifa kwanza wameset priorities na siyo ushabiki ukiona hivyo ni kuwa kuna waliobora zaidi yao km unavyojua DR congo ivory cost ni nchi zenye mpira na vipaji vingi kulinganisha na bongo huo usimba uyanga umeigharim nchi mtu uwezo mdogo hata club yake inajua ndio maana huwa anaanzia sub leo anachezeshwa vipindi viwili lazima awape mlicho stahiliIla Kuzaliwa Nchi nyingine wakati mwingine sio fair Hiv Max ni wakukosa namba timu ya Congo? Yao Kwasi na Pacome ni wakukosa namba Ivory Cost? nina wakika wangekuwa watanzania wasingekosa first eleven yetu.
Mzize alimpa mpira adake yeye kwa mbwembwe ndio anausogeza zaidi golini. kipa bongo hatuna.Hamna haja ya kumsema Mzize pale yoyote anaweza kukosea...kikubwa hatujafungwa nyingi....
Na kikubwa tusingefungwa kabisa leo...
yap, tukiwapiga wao watakuwa na point 9 sisi 7. so wat?Walishalegea sana tena ni kwao, wamepgopa sana Taifa Stars, umeona jinsi Wakongo hawashangilii wanatoa mimacho kwa uoga, wakija kwa Mkapa tunapiga na kuwapoteza hadi watasema hii ni Taifa Stars au Israel inapiga Lebanon..!! Tunapiga miguu wataacha kwa Mkapa…. Aaaaarrrghhhrrrrr🤬🤬😡😡👺👺👹👹